Saturday, 16 March 2013
SIASA SIO VITA KAMA UNATAKA KUAMINI ANGALIA HAPA
Follow @chazzbel
Siasa sio kama watu wanavyo fikiria kuhusu maandamano ya vurugu na kuchomeana nyumba. ukitaka kukubaliana na mimi hebu angalia hawa waeshimiwa wakifuatana katika mtandao wa kijamii. jamani tuacheni kugombana kisa siasa sisi huku chini ndo tunaweza tu kuumia.
Monday, 25 February 2013
Friday, 22 February 2013
Sunday, 3 February 2013
Tuesday, 29 January 2013
Sunday, 13 January 2013
Sunday, 9 December 2012
Friday, 28 September 2012
JEE UNATAKA KUJUA UTAKAPOZEEKA UTAFANANA VIPI?
Follow @chazzbel
Jee unataka kujua utakapozeeka utafanana vipi?.
Kazi rahisi sana.
Wataalam wakiongozwa na Dr. Zajonc(ZI-onz) wanasema kama wewe nimwanamume hebu muangalie baba mkwe wako, na kama wewe ni mwanamke , muangalie kwa umakini mama mkwe. Urefu unaweza kuwa tofauti lakini sura, utakapozeeka utafanana kama wakwe zako.
50 CENT ATAJA MBINU TANO ZA KUKUFANYA UACHE KUPIGA PUNYETO
Follow @chazzbel
Masturbation, ni kitu ambacho watu wengi hufanya kwa siri
kujiridhisha pindi wawapo na hamu ya kufanya kale kamchezo kama Diamond
anavyokaita!
Lakini si kitu ambacho unaweza ukasema hadharani. It’s a dirty secret!
Lakini 50 Cent haoni aibu kulizungumzia hadharani.
Rapper huyo ambaye anasema kujichua ni dhambi ametoa somo la jinsi ya kuachana na tabia hiyo kupitia Twitter kama ifuatavyo.

50 CENT ATAJA MBINU TANO ZA KUKUFANYA UACHE KUPIGA PUNYETO
Lakini si kitu ambacho unaweza ukasema hadharani. It’s a dirty secret!
Lakini 50 Cent haoni aibu kulizungumzia hadharani.
Rapper huyo ambaye anasema kujichua ni dhambi ametoa somo la jinsi ya kuachana na tabia hiyo kupitia Twitter kama ifuatavyo.
Subscribe to:
Posts (Atom)