#navbar-iframe{height:0px;visibility:hidden;display: none !important}

Saturday, 18 May 2013

HIVI NDIVYO BIFU JIPYA LINAVYOPIKWA KATI YA TID (mnyama) NA LADY JAY DEE KATIKA MTANDAO

TID a.k.a MNYAMA  leo amejikuta  akiambulia  matusi  ya  nguoni  baada  ya kuitosa  show  ya  Lady Jaydee  na  kuandika  chenga  zake  katika  Account yake ya Facebook….
Na hapa ni baadhi ya watumiaji wa mitandao wakizidi kufanya yao kuhakikisha wanasema kinachowakera